I PAD TWO 32 GB nauza

Weka picha mkuu! Halafu bei inapungua hadi ngapi?
Ikifika kilo sita unusu niPM
 
kingmairo haahahahah hutaakaaa upate I pad kwa bei hiyo I pad si simu kaka
 
Nipe hiyo sita na nusu nikupe yangu mpya 60 gb kama ukitaka ni pm sio matani na kama pia unahitaji laptop na home theatye. Ni ambie laptop za samsung memory 2gb ram 2gb, hdd 320gb. Sio utani, namaanisha, jumla na reja reja zote ninazo, ndo nimetoka kutoa melini juzi mombasa porti.
 
]Nipe hiyo sita na nusu nikupe yangu mpya 60 gb[/COLOR] kama ukitaka ni pm sio matani na kama pia unahitaji laptop na home theatye. Ni ambie laptop za samsung memory 2gb ram 2gb, hdd 320gb. Sio utani, namaanisha, jumla na reja reja zote ninazo, ndo nimetoka kutoa melini juzi mombasa porti.

Hiyo unayotaka kumpa yako mpya ni nini, Apple iPad2? Sema ukweli wako kaka, ni original au fake; kwa maana nijuavyo Apple hawajawahi kutoa iPad yenye 60Gb!!! Tuwekee detailed picture ya hizo bidhaa, kama ni original wateja wako wengi humu! Tena weka Tangazo lako la kujitegemea kabsaaa!
 
kingmairo haahahahah hutaakaaa upate I pad kwa bei hiyo I pad si simu kaka
Mkuu Janja PORI, si unajua biashara ni negotiation? Natambua kuwa dau langu lipo chini ila kwasababu ni maelewano huwezi jua tutafikia wapi. Ndo raha ya soko huria.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom