KP Electricals: Karibu kwa kazi za umeme na ushauri wa mifumo bora

Kaplizer

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
710
569
Karibu KP ELECTRICALS
Tunafanya wiring na maintenance za majumbani, viwandani na kwenye workshops.

Tunafanya wiring na backup za solar systems zote

Tumebobea kwenye three phase na single phase za majumbani.

Tunakufanyia maombi Tanesco Kwa muda mfupi

Kutoa ushauri wa mifumo bora ya umeme na pamoja na changamoto na utatuzi wake Kwa usalama wa jengo lako.

Kazi zetu hazina mipaka ni nchi nzima, tupe site tutakufikia Kwa urahisi.

Tutafute kupitia +255785009899

20230822_175016.jpg
 
Back
Top Bottom