Laini za uwakala wa M PESA,TIGO PESA, pamoja na AIRTEL MONEY.

wamaukweli

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
997
2,000
Kwa M-Pesa line wanatoa bure,,ila tu uwe na kitambulisho cha kura/taifa,leseni ya biashara pamoja na Tin No.
Laini za uwakala unatakiwa kuwa na Tin number, lesen ya miamala ya pesa,passport na kitambulisho cha mkaazi au cha kura,Tigo wanatoa bure laini ila Voda laini ya uwakala unalipia elfu 15 kwa ajili ya muhuri wa mwanasheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 

ningendako

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
21,080
2,000
Laini za uwakala unatakiwa kuwa na Tin number, lesen ya miamala ya pesa,passport na kitambulisho cha mkaazi au cha kura,Tigo wanatoa bure laini ila Voda laini ya uwakala unalipia elfu 15 kwa ajili ya muhuri wa mwanasheria

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nmetumia vitu hvyo pekee hapo juu nilivyovitaja yaan leseni,tin # na kitambulisho nikapewa Till No. bila hata kutoa hyo elfu 15 uliyosema hapo,,
 

ningendako

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
21,080
2,000
Ni vizuri mkuu,,biashara ya pesa kama hyo ipo vizuri sana,tafuta tu eneo lilochangamka lenye mzunguko wa pesa
Ahsante sana mkuu..!! Ngoja nichangamkie fursa hii wajua nataka kufungua goli la uwakala wa m pesa tigo pesa na airtel money na halopesa. Sasa nipo nafanya utafiti kidogo kuhusu gharama za uendeshaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

ningendako

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
21,080
2,000
Vodacom pia wana uzi wao humu,,ni vyema ukautafuta uulizie upate taarifa zaidi,,ila nachojua mm ni hicho nilichoshare hapo juu na nikafanikiwa ndan ya wk 3
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom