Nahitaji kitenganishi cha malkia wa nyuki (Queen excluder)

DENAMWE

JF-Expert Member
Dec 29, 2019
807
809
Nahitaji kifaa hiki kwa ajili ya ufugaji wa nyuki.
Kinapatikana wapi kwa bei nzuri?
IMG_20230726_180601_34.jpg
 
Nenda polymachinery wapo shekilango ndani ya jengo la business park uko utapata unachokihitaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom