INAUZWA Nauza Bajaji yangu bado ipo vizuri mno

makondekoujiji

JF-Expert Member
Aug 31, 2015
383
494
Habari,lengo ni kununua gari.

Nauza bajaji yangu aina ya TVS king. Haina tatizo lolote.

Ipo Dar Chamazi.

Kwa mawasiliano njoo PM
Bei milioni sita.(6,000,000)
 
Bei ni kweli umeweka. Ila picha hakuna.
Hapo vip?View attachment 2727052View attachment 2727053View attachment 2727054
20230822_125802.jpg
 
Back
Top Bottom