conservative3
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 1,129
- 790
salamu wanajukwaa!
nina shamba ambalo nimeamua nipimishe viwanja.nimepata mchoro toka wizara ya ardhi sasa nahitaji ushauri na bei elekezi za upimaji viwanja.
eneo lina heka 20 liko mkoa wa pwani.
nimekwenda halmashauri husika (nilishauriwa wapimaji wanapatikana hapo) wamesema mtaalamu alieandaa mchoro anatakiwa anipe coordinate,mtaalamu anasema mpimaji makini akiangalia mchoro tu anajua coordinate,nisaidie kipi ni sahihi ,na nitumie taratibu gani au mbinu gani kufanikisha lengo langu.
je kuna wapimaji wa binafsi?gharama zao zikoje?wanatambulika na mamlaka za ardhi?