Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

hbr wana Jamii forums, ningependa kujua kati ya pajero jr na rav 4 short chasis ipi ni imara zaidi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani (sokoni, kazini)
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wadau naomba mwenye kufahamu jinsi gani naweza pata 'USER MANUAL YA TOYOTA GAIA 2000" iliyoandikwa kwa Kingereza. Niliagiza mzigo japani na ukaja fresh sasa manual book iliyopo imeandikwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Husika na kichwa hapo juu, @A4 TSH 9000 nahitaji 3.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
simu inauzwa ndugu wadau Bado ipo katika hali nzuri Bei ya kawaida kabisa 180,000 haina longolongo...Haina kushusha U can google it for more clarificatio Achana na ile ya keypad naongelea ile...
0 Reactions
1 Replies
985 Views
New Star times decoder for sale (Decoder, In door Antenna, and remote) price Tshs 40,000/= call me on 0757-291560
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni nyumba kubwa ina vyumba 8. ipo barabarani kabisa gari inaingia mpaka ndani . uwanja ni mkubwa iko pembeni kabisa ya bara bara ya lami. pia nyumba nyingine inauzwa kinondoni shamba. Tuwasiliane...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
iphone 4 mpya inauzwa bei 1m mwisho lak 9 kma wahitaji nipm
0 Reactions
0 Replies
822 Views
imetumika , bado ina hari nzuri na inafanya kazi bei 700,000/= 0657 14 5555, 0755 099 291, 0686 200117
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF natafuta Sim Tajwa Hapo Juu Mwenye Nayo Nijulishe Plis
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kiwanja kipo Igoma - nyuma ya St. Mary Schools, ukubwa ni meta 30 x 40; hakujapimwa ila tayari kuna raia wengi wamejenga huko. Mwenye kuhitaji anitumie Pm na kama kuna swali linakaribishwa.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mambo vipi wadau? Mbwa wanauzwa pure Germany Shepherd tarehe 13, April,2012 wanatimiza miezi miwili. Amebaki jike mmoja. Bei ni Tshs 300,000/=. kwa mmoja. Kwa mawasiliano: 0717 123 464, 0762 101 178
0 Reactions
3 Replies
1K Views
salaam jf natengeneza website kwa gharama nafuu sana. pia nafundisha ujuzi huo kwa bei poa, nakufata ulipo kama unahitaji ni pm
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kigamboni iwe karibu na barabara iendayo mji mwema.sifa za nyumba iwe chumba kimoja cha kulala,sitting room,jiko,choo na iwe ndani ya fence.naomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Victoria Express Old bagamoyo road Opposite to mayfair contacts; 0713 335474/0757 714410
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Open Group mpya imefunguliwa facebook kwa jina la Ukombozi Tanzania. Unaruhusiwa kujoin pamoja na kuinvite watu mbalimbali kwenye group. Aim ni kuwa na kila mtanzania anayetumia mtandao wa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
wadau na cheni nauza gram 30 From Italy bei rahisi ni PM anayetaka
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mabasi yanauzwa . Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi: Victoria express dar es salaam tel:0713335474 /0757 714410
0 Reactions
1 Replies
2K Views
karibuni mjipatie aina mbalimbali ya vitenge.vitenge original.vitenge vya wax,kanga nk.kwa mawasiliano zaidi tupo Tunduma mbeya tunapatikana kwenye soko jipya.tuwasiliane simu 0715005450.barua...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Imetumika lakini bado ina hali nzuri . inahitaji service ndogo bei 700,000 ipo kinondoni A wasiliana na 0657 14 55 55. 0755 099 291, 0686 200 117.Tom
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni nyumba yenye self/masterbedroom 2, vyumba vi2 single vinatumia choo cha ndani, dinning room moja, sitting moja kubwa car park, servant rooms na uzio mkubwa nyumba ina maji na umeme Ipo Area D...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom