Nyumba inapangishwa kinondoni studio

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
ina vyumba 2 vya kulala, jiko na choo, iko ndani ya uzio , luku maji yapo compound unashirikiana na wenzako 2, gari haiingii ndani inakaa nyumba ya pili. bei Tsh, 250,000/= kwa mwezi. juu ina jipsam chini cement ya kawaida. mimi sio mwenye nyumba ni dalali . kwa anayetaka 0657 14 55 55, 0755 099 291, 0686 200 117. Thomas
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom