Nahitaji kiwanja cha kununua maximum price million 5- arusha( nje ya mji kidogo ) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji kiwanja cha kununua maximum price million 5- arusha( nje ya mji kidogo )

Discussion in 'Matangazo madogo' started by TheTruth, Jun 5, 2012.

 1. TheTruth

  TheTruth Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiwanja hicho kiwe maeneo yenye ardhi nzur yenye maji na access ya umeme, maeneo ya makazi ya kuishi, pls wasiliana nami , ningepenelea maeneo ya kule chini moshono, ngaramtoni au popote pazuri
   
 2. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  kisongo utapata! Moshonö shika 10m ndio uanze kutafuta waarusha wakule wamejanjaruka siku hizi.
   
 3. TheTruth

  TheTruth Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmh basi kazi kwel kwel....hiyo ndo maximum price yangu aisee.....na maeneo nayopenelea ni moshono au ngaramton
   
 4. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  ni pm kama utahtaji maeneo ya unga limited sokon 1.my no 0757 137671 au 0782 990567
   
 5. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,186
  Likes Received: 680
  Trophy Points: 280
  Moshono bei ni mara 3 zaidi mkubwa! Mbele zaidi ya Moshono ndio hakushikiki!
   
 6. TheTruth

  TheTruth Member

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hicho cha mara tatu ya bei kina ukubwa gani?
   
 7. TheTruth

  TheTruth Member

  #7
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmmh huko hapana kaka nashukuru
   
 8. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  kabla hela yako haijapoteza thamani kimbilia kisongo hapana tofauti na ngaramtoni ni ukanda mmoja tuu huo.
  Pia utapata eneo kubwa lakujinafasi, au labda uende maji ya chai ndanindani na ukatiwe kisehemu kidogo
  na wameru. Au jaribu kwa mrombo. Kisongo ndio mpango mzima ndugu yangu
   
 9. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  hicho ni kuleeeeeee jalala kuu
   
 10. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Da Loly uko kisongo hio 5M unapata kiwanja cha ukubwa gani?
   
 11. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  kipo 20 kwa ishirini 7m maji bidii yako tu
   
 12. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  35 kwa 35
   
 13. A

  Akiri JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  mimi nina viwanja 2 pale minazini na karibu na Impala Hotel kama umetoa tangazo kwa kumaanisha nipigie 0755 099 291, 0686 200 117 , 0657 14 5555
   
 14. deogan

  deogan JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Moshono ujiandae na 25M na zaidi

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
Loading...