tunauza magari kwa bei rahisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tunauza magari kwa bei rahisi

Discussion in 'Matangazo madogo' started by freemoney, Jun 8, 2012.

 1. freemoney

  freemoney Senior Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari zenu JF
  sisi ni private dealers ambao tunauza magari ya aina mbalimbali kwa bei nzuri. tunauza magari mapya na yal used yaliyo in a very good condition........ baathi ya magari ni kama mark 2 gx100, suzuki escudo, starlet, opa, harier, noah, carina, premio, spacio, corrola, mark 2 gx 90, rav 4, alteza, na mangine mengi

  just piga 0716-369299 na utujulishe ni aina gani ya gari unaitaji
   
 2. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180

  kaka biashara matangazo lakini matangazo huwa yanalipiwa sijui kama umelipia au la. Mie kama mlala hoi nakushauri uweke list ya hizo gari ulizonazo na bei zake ili mtu akupigie akiwa amesha ona bei. kama umeamua kujianika yanini ufanye siri ya bei?
   
 3. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Weka japo picha ya tire basi lol!
  Wabongo siku hizi wanataka wakione ki2 kwanza bana!
   
 4. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Nipe bei ya prado 4cylinder ya 1998 petrol na Gx100 ya 2000,swift ya 2003..
   
 5. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,001
  Likes Received: 2,615
  Trophy Points: 280
  Weka picha tutaelewana.
   
 6. m

  mzee wa wau Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yaonekana unabip biashara huwezi pata mtu kwa njia hiyo.Wataka sisi ndio tukupe bei zetu?Fungua mawebsite ya wenzako ujifunze.wao wanakupa mpaka shipping estimates na options nyingi.ambazo zavutia,pia siku hizi kuna suala muhimu la security/guarantee ya pesa za mnunuzi.Atahakikishiwaje kuwa wewe sio tapeli?
   
Loading...