WANTED:Thin client terminals-Arusha

WANTED:Thin client terminals-Arusha

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,478
Reaction score
1,254
natafuta thin client terminals,ziwe na software pamoja na adaptor zake.my offer 20USD,or karibu na hapo.kwa maelezo zaidi niPM
 
Ndiyo wadudu gani hao kaka? Funguka.
 
ni vimashine vina act kama cpu,unaconnect kwenye cpu moja na unaweza ukawa na terminals hadi 10 kwa cpu moja,watu wa IT ndo watakuwa wanafahamu.
 
snochet!
Mambo vp?

Jf ni mambo yote,na bila shaka utajibiwa muda si mrefu.
 
ni vimashine vina act kama cpu,unaconnect kwenye cpu moja na unaweza ukawa na terminals hadi 10 kwa cpu moja,watu wa IT ndo watakuwa wanafahamu.

Hapa umetudanganya vina-connect 1- mpaka 30, una hitaji vingapi?...huitwa PC-Station.
 
sijadanganya mtu,google thin client terminal uone jibu utakalopata,mimi nazijua kwa jina la thin client terminals,iyo nyingine ndo nasikia kwako,sina uhakika kama ni kifaa hichohicho ila nadhani umeelewa ni nini natafuta.nahitaji 4.nitaongeza zingine baadae.
 
Back
Top Bottom