Tuna supply mayai bei poa.

Tuna supply mayai bei poa.

petar

Member
Joined
Aug 26, 2011
Posts
62
Reaction score
3
Take One ( Tanzania ) Limited tuna supply mayai sehemu mbalimbali kwa bei nafuu.
Tupo Mburahati/kagera Road karibu na kiyuo cha basi cha CCM.

Kuwasiliana piga 0714 25 53 51.

Karibu.
 
Take One ( Tanzania ) Limited tuna supply mayai sehemu mbalimbali kwa bei nafuu.
Tupo Mburahati/kagera Road karibu na kiyuo cha basi cha CCM.

Kuwasiliana piga 0714 25 53 51.

Karibu.
Picha ya:
1.Mayai
2.Kuku aliyetaga hilo yai.
3.Banda lako.
4.Wafanyakazi.
5.License copy ya biashara.
6.Ofisi yako.
Tumechoka kulishwa mayai ya kichina bana!
 
tembea ofisini utapata kila kitu unachiitaji namba ya simu hiyo hapo juuu
 
Picha ya:
1.Mayai
2.Kuku aliyetaga hilo yai.
3.Banda lako.
4.Wafanyakazi.
5.License copy ya biashara.
6.Ofisi yako.
Tumechoka kulishwa
mayai ya kichina bana!

Kwani picha ya hivi vyote (isipokuwa leseni) zitakuhakikishiaje kuwa ndo mayai bora? Kwani hawezi kupata picha izo mahali pengine then akakubandikia hapa? Tafuta njia sahihi ya kuhakiki ubora ila kwa picha utaumia.
 
Back
Top Bottom