Hii kweeli ni sawa muzawa kuitwa muvamiz,mgeni kupewa kipaumbelee? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii kweeli ni sawa muzawa kuitwa muvamiz,mgeni kupewa kipaumbelee?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by JOSEPH MARA, Jun 2, 2012.

 1. J

  JOSEPH MARA New Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siyo kama kweli ni sawa hasa kwa hili maana kila wamebinafsisha niende wapi mimi mzawa nilicho tegemea hakipo tena wakati huo haja tuonesha sehem ya kwenda kule tutafika tuwendako jaman kwa hali hiii
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,954
  Likes Received: 1,826
  Trophy Points: 280
  mkuu hebu edit kidogo ili usomeke vizuri? yani sijakuelewa
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Sasa hawujaweka wazi,tunashindwa kuwelewa kwa nini muzawa wamutese afu mugeni athaminiwe,huwu wutakuwa wunyanyasaji hapa mujini,lazima wufwatilie kwa wukaribu
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  hata mimi sijapata kitu hapo
   
 5. A

  ADK JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,152
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Funguka ndugu ili usaidiwe
   
 6. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Nadhani anachosema ni kwamba hizi sera za uwekezaji za Kikwete zimembandua kwake na eneo kapewa mwekezaji. Ndivyo nilivyomuelewa mimi. Kikwete anaamini kuwa mwekezaji akipewa eneo kubwa wale anaowaita Watanzania wa "pembezoni" watafaidika. Republicans wanaiita "trickle down theory."
   
 7. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Watafaidishwa kwa hizo kazi za sh. Kumi kumi?!, zile za mshahara mkubwa wanawapa wenzao, zile za kuchosha mwili na kuzorotesha afya zenye mshahara mdogo ndio wanazopewa wazawa, wakijenga miundo mbinu pia ni kwa ajili yao tu, sio kwa faida zetu na taifa letu, barabara ngapi na hospitali ngapi bado wananchi wanaililia Serikali iwaboreshee matatizo yanayozikabili ili wakae kwa raha angalau?!
   
 8. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Si uungwana!
   
 9. J

  JOSEPH MARA New Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu hii inachoma sana hasa kwa watu tunaozunguka migodi ndyo tulio na hali mbaya kabsa nmekuwa nkitegemea hmgod alyopewa mgen leo hii mm cna kitu ndugu napo jarib kadai hata eneo dogo klwa ajili ya kuchmba kama wachimbajiwadogo tunaambiwa tusubiri wafanye uchuguzi wa enneo huska wakati huo mgeni bado anachimba altukuta toka mwnzo sisi tunachmba yale madni hapo alipo kwann wasingefanya utafiti pengine na kutuacha sisi tukichmba watoto wa tegemea karo waende shule na matumizi yote ya familia yanapatikana pale leo hii kapewamgeni sisi tunaitwa wavamizi?
   
 10. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mzawa wa nchi gani wewe? Kiswahili chako kama cha kizaire vile
   
Loading...