Natafuta nyumba ya kupanga, mimi ni dalali. inahitajika nyumba yenye vyumba vi-3 au 4 pamoja na master bedroom. Iwe na fence, iwe na tiles pia. Maeneo ni sinza, ilala boma au magomeni. Kwa...
Shamba lenye ukubwa Wa hekari 60 lililopo eneo la Mlandizi, Dar es Salaam linauzwa. Shamba lina jumla ya Ngo'mbe 20 mbuzi 120; kondoo 70. Pia lina nyumba 1 na trekta 1 wasiliana na Bw. Ibrahim...
wakuu Mwenye uelewa na printer hizi naomba anisaidie kuelewa bei yake hapa DSM na duka gani zinjapatikana ili nikanunue. HP LaserJet 1010 Printer (Q2460A)
Ni nzima inatembea na haina matatizo yoyote. Gari ipo Dar.
Ni manual ,Imekua chini ya uangalifu wa DT DOBIE Kwa Muda wote
BEI 18.500,000/= GARI IPO DAR. Unakarishwa kuikagua njoo na fundi...
CATS-NET Limited is an Internet Service Provider (ISP) specializing in the Provision of of turnkey Information Communication Technology (ICT) solutions such as providing high speed Internet and...
Zile Darubini za kwenye maabara aina ya JAICO BINOCULARS MICROSCOPE-Dual Power (zinatumia umeme na Solar kama umeme ukikatika-equiped) zimewasili kwa anehitaji anitafute ,Bei ni Mil.1 ila...
Nyumba ina vyumba 4 na 2 uwani gari haingii mpaka ndani inaishia jirani inafaa kwa matumizi ya familia moja au mbili
kodi ni 280,000 kwa mwezi. haipo mbali na barabara . kwa muhitaji makini...
"Jiji limenishinda kuhanjahanja bila issue ya msingi naeza kuwa kibaka, nna mpango wa kufungua kijiduka cha biashara kwa bidhaa mchanganyiko; kwa yeyote mwenye kujua center nzuri ya biashara na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.