Blackberry Curve 9300 3G kwa Tsh 450,000 tu.

Blackberry Curve 9300 3G kwa Tsh 450,000 tu.

Mwanamso

Member
Joined
Jun 14, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Jipatie Blackberry Curve 9300 yenye 3G kwa bei chee kabisa, specs ni kama ifuatavyo:-

[h=2]Available Features[/h]
  • 3G network support
  • Optical trackpad
  • Full QWERTY keyboard
  • Simultaneous voice and data*
  • Email and text messaging
  • BlackBerry® Messenger
  • Instant Messaging
  • Phone
  • Browser
  • Camera and video recording
  • Wi-Fi®
  • GPS
  • Media player
  • Organizer
  • Bluetooth®
  • Tethered modem
* The BlackBerry Curve 9330 supports simultaneous voice and data over Wi-Fi networks only.
Kama umeipenda ni-pm utaletewa popote pale kwa mtu DSM tu.
 
Attachments

  • blackberry-curve-3g-9300.jpg
    blackberry-curve-3g-9300.jpg
    34.1 KB · Views: 64
Hii ni post yako ya kwanza, unaonekana umeingia kufanya biashara. Wasiliana na "Invisible" ufanye malipo kabisa (jok), ila nimependa umetoa specs za kueleweka kwa bidhaa husika, tofauti na wale wanaokurupuka. Mtu anakuja hapa jamvini anasema "Nauza kamera ya Yashika ambayo haifunguki" Hiyo inakera.
 
Asante sana Webondo, hilo sijalijua la kuwasiliana na "Invisible", kwani huyo "Invisible" ndio nani kwanza? Pia japo hii ndio post yangu ya kwanza, haimaanishi nimekuja JF kufanya biashara, more post to come! Sasa vipi wewe hujaipenda hii Blackberry?
 
Mimi nazipenda sana, ila hela sina ndugu yangu. Tulishazoea kununua zile simu zetu za tochi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom