Nauza Nokia N900 ina 48GB

Chantaburi

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
749
194
Wadau ninauza my Nokia N900 ina mwaka mmoja na ipo katika khali nzuri. Ina 32GB built in na memory card ya 16GB. Nimeamua kuiuza sababu ya matatizo tu. Bei ni kuanzia 450,000/- ina ina accesories zote. Mie niliinunua tshs 750,000/-
 
ungeweka na picha za uhalisia wake kwa sasa baada ya matumizi ya mwaka mmoja!
 
Mimi nitakutoa 200 hali mbaya.
Wadau ninauza my Nokia N900 ina mwaka mmoja na ipo katika khali nzuri. Ina 32GB built in na memory card ya 16GB. Nimeamua kuiuza sababu ya matatizo tu. Bei ni kuanzia 450,000/- ina ina accesories zote. Mie niliinunua tshs 750,000/-
 
Nashukuru kwa ushauri wadau asubuhi ntaweka picha halisi na khali yake hadi hv sana ila haijawahi kupelekwa kwa fundi yeyote.
 
Attachments

  • Nokia-N900-official1.jpg
    Nokia-N900-official1.jpg
    44.7 KB · Views: 80
Fanya 300,000 nikutoe fasta
Kaka kwa lake nne kamili nafunguka. Ipo katika khali nzuri. Mie nipo Mwz ila hata kama upo Dar naweza kuituma asubuhi kwa precision nikakuelekeza sehemu ya kwenda kuchukulia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom