Shamba ekari 580 linauzwa iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shamba ekari 580 linauzwa iringa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by zamadamu, Jun 4, 2012.

 1. z

  zamadamu Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shamba linauzwa lina ukbwa wa ekari 580 lipo iringa mitaa ya mgongo bei piga simu hii 0655 088055
   
 2. P

  Petera Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shilingi ngapi
   
 3. P

  Petera Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanalima nini hapo?
   
 4. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mhhh la nani hilo la pri muhamed,asas?
   
 5. K

  Kabachubya Member

  #5
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Bei iko juu sana, na inabidi uweke vitu wazi, ni la nani? urithi au? shusha bei na uligane. hayo ni maoni yangu.
   
 6. M

  Mavurunza Member

  #6
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhhh! mbona mi sioni bei au ni macho yangu?
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Si kila mtu ni mwenyei wa Iringa ebu fafanua liko maeneo gani?
   
 8. M

  Malila JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  tangazo lako linakosa vitu vifuatavyo; umbali toka Iringa mjini, je liko ndani ya manspaa aka city,je lina mali gani kwa sasa,nani ni mmiliki kwa sasa na kwa nini anauza, je miundombinu gani ipo ( maji/umeme/barabara). Hati miliki ipo au ndio zile za serikali ya kitongoji,Toa,maelezo vizuri mkuu.
   
 9. z

  zamadamu Member

  #9
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  liko umbali wa kama kilometa 3-5 kutoka barabara kuu ya kuelekea dodoma kabla hujafika nduli, na kina hati kamili na umeme ,maji na ina nyumba nzuri ya kuishi
   
 10. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Bado hueleweki nduli ndio wapi,uganda?
   
 11. M

  Malila JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Nduli ni kijiji/kitongoji ambapo ndipo ulipo uwanja wa ndege wa Iringa. Unaweza kutoa makisio ya bei? Maeneo yale si ndiko yaliko mashamba ya madosi wa Iringa mjini?
   
Loading...