Shamba linauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shamba linauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mlangaja, Jun 11, 2012.

 1. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ndugu wana JF
  Shamba lenye ukubwa wa ekari 6 linauzwa. Shamba hili lipo maeneo ya Msalato umbali wa km 10 kutoka katikati ya mji wa Dodoma. Shamba hili lipo karibu na uwanja mpya wa kimataifa wa Dodoma. Shamba linafaa kwa Kilimo cha karanga, mtama, choroko, mipapai, mbogamboga, mihogo nk. Kimsingi ekari moja inaweza kuzalisha si chini ya gunia 7 -15 za karanga za maganda kwa msimu mmoja wa mvua. Shamba linafaa pia kwa uwekezaji wa shule, hoteli, hosteli nk.
  Bei yake ni sh 12m. Kwa anayehitaji anaweza kuwasiliana kwa simu namba 0785004496 au 0764 526786.
   
 2. Elijah

  Elijah JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,672
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  hauwezi kuuza kwa portion mkuu??
   
 3. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Inawezekana unahitaji kiasi gani?
   
Loading...