House for sale!!

ifams

Member
Jun 22, 2012
36
0
how are you everyone? house for sale!! it has 2master bedrooms,2bedrooms,1sitting room,1dining room and e.t.c the house is at Sinza, Dar es salaam Tanzania. if you are interested on it please contact us through this numbers 0778-005506 OR 0754-942032.thank you
 
watanzania ni lini tutakua? unawezaje kuuza nyumba 250 million bila kuweka picha ya hiyo nyumba? au mnafikiria 250 million ni karatasi,utauzaje nyumba bila kuweka picha,mtu atajuaje pesa uliyotaja inaendana na hiyo nyumba.
hivi tutaweza kushindana biashara na majirani zetu kwa mtindo huu? nashangaa watu wengi apa wanauza nyumba ni waoga kuweka picha na bei,acheni hizo bana
 
kama unania ya kununua hutajali chochote vilevile nyumba ni nzuri nilitafakari sana nda maana nikamua kuiza kwa bei hiyo
 
utasemaje nzuri bila kuweka picha,mbona unaogopa kuweka picha,biashara gani hizo unaleta apa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom