Jamani kwa yeyote anayejuwa natafuta isuzu journey kubwa iliyo kwenye hali nzuri aidha ni dala dala au sio waweza tuma meseji au piga simu 0754 646827 bei ya kununua itategemea hali ya gari na...
Nauza kwa bei 450,000 nimetumia miezi miwili
GENERAL 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G Network HSDPA 900 / 2100
Announced 2010, December
Status Available. Released 2011, April
BODY...
wana jf wenzangu gari yangu suzuki escudo automatic imekuwa ikiflash/blink taa ya over drive kila ninapopunguza mwendo au kupandisha kilima. ikisha changanya mwendo taa inazimika. je tatizo hili...
NYUMBA INAUZWA TSH. MILIONI 20.
Nyumba yenye vyumba 3 pamoja na self - master bedroom,dinning and sitting rooms, store room na choo cha ndani. Pia ina uwanja waziada kwa ajili ya ujenzi au mifugo...
Habari za asubuhi wana JF.Napenda kuwatangazia kuwa nauza viwanja ila dalali hatakiwi.Viko viwanja nane tu vimebaki vina ukubwa wa mita 15x15 kwa bei ya TShs.1,500,000/=
Kilometa 4.5 toka...
Iwe Moshi au Arusha, Toshiba au Acer preferably. Full accessories, si lazima iwe na OS au hata apps zozote. Nafika hadi 500k.
PM au weka hadharani hapa.
Wandugu,
Salaam.
Nahitaji EFD kwa ajili ya retail shop,My sales are above 40M per year.
Nahitaji sehemu ya kununua kwa bei nzuri.Ni biashara ya kuuza bidhaa ndogo ndogo.
Regards.
Rakey.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.