natafuta nyumba ya kupanga Tengeru au USA river Arusha

Ndechumia

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,103
418
Wadau, nimepata kibarua huko Arusha nahitaji msaada wenu niweze kupata makazi ya kuishi, manake kuishi hotelini gharama zitanishinda.

Nahitaji nyumba yenye Chuma 1 cha kulala(master) sebule, store, jiko

bajeti nimeshindwa coz sijui bei za nyumba huko geneva ya afrika, nitashukuru kama nitapata na bei tofauti tofati.

Wadau nyumba nahitaji haraka coz natakiwa eneo la tukio j3 tar 16 july 12. tafadhali ni PM

Natanguliza shukran zangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom