Nataka bajaj kununua wapi nitapata nzuri na kwa kiasi gani tshs.?

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Nimefanikwa kwa mambo mengi kupitia mtandao huu wa Jamiiforums kwa wanachama wake wema
Je nitapata wapi BAJAJ NZURI MAANA NASIKIA WACHINA WAMETENGENEZA NA NI BOMU KWELI KWELI
Nashukuru kwa ushauri wenu wapendwa
 
Kuna mtu ametoa humu anauza bajaj laki nane na ametoa picha zake hebu cheki
 
Nimefanikwa kwa mambo mengi kupitia mtandao huu wa Jamiiforums kwa wanachama wake wema
Je nitapata wapi BAJAJ NZURI MAANA NASIKIA WACHINA WAMETENGENEZA NA NI BOMU KWELI KWELI
Nashukuru kwa ushauri wenu wapendwa

ninayo nzuri 4 stroke ina insurance na road licence pia nimeilipia ushuru,haiitaji marekebisho yoyote,pia nimefunga mziki,bei 3.2ml tzs kama unahitaji kuiona iko moroko dsm piga 0713473166 kwa maelezo zaidi!
 
Back
Top Bottom