Nauza vitoto vya Mbwa kwa ulinzi bei 180,000

leamashina

Member
Jul 5, 2012
25
2
Mwanajamii anayetaka kufuga mbwa kwa ajili ya ulinzi please nipigie 0712-695090, ninauza puppies wazuri sana 3 months kwa bei poa. Karibuni
 
hivi mtu anaposema kitu kizuri, kwa vipimo vipi? tueleze species kama german sheperd nk, je wamepewa chanjo. Halafu lengo la JF si kuhabarishana hapa hapa jamvini mambo ya nipm mara nipigie simu yanatoka wapi. Weka details za kutosha ili ninapokupigia simu tupunguze urefu wa mazungumzo-iwe straight to business.
 
Nimewaona

thin+dog.jpg
 
Huyu mleta mada hajui anachoongelea bila shaka!

Ama ameokota viumbwa koko barabarani halafu anatuletea mada koko humu!


leamashina! Rudi jukwaani kijana!
 
Sijaokota vijibwa koko barabarani kaka ila nafuga mbwa kwa ajili ya ulinzi. Nimechanja chanjo ya kuzuia Pavo disease na tayari wamepata dawa za minyoo. Wako FRESH
 
Ni kabila gani na jinsia gani? kabila gani namaanisha wanaelewa lugha gani?
 
Back
Top Bottom