Kuagiza scania truck kutoka europe kwa njia ya mtandao

Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
10,332
10,946
Wadau nahitaji kununua scania tractor lenye gvm ya 44ton. Nimejaribu kupita mitandaoni nimevutiwa na makampuni mengi ila wasiwasi wangu ni uaminifu. Naomba kwa mdau yoyote ambaye ana uzoefu wa kuagiza Aina ya hizi gari anidadavulie kampuni yenye uaminifu kama vile autorec kwa upande Japan. Mimi nimetembelea lawexports na a&m exports
 
Back
Top Bottom