Ofisi ya kupanga inahitajika Mwenge/Sinza

Ofisi ya kupanga inahitajika Mwenge/Sinza

Buggy

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
236
Reaction score
61
Nahitaji fremu kwa ajili ya kuweka ofisi ya mambo ya video production, maeneo ya Mwenge au Sinza. Kodi isizidi LAKI 2. Mwanye kuweza kunisaidia naomba tuwasiliane: richie_massive@yahoo.com
 
hiyo pesa ndogo sana, ipo moja pale itv kuna m2 nilimtafutia hajapapenda yeye anataka sehemu kubwa zaidi na pesa yake ni ndogo. ipo sinza na na kama utataka m aeneo ya kinondoni nitafute 0657145555
 
Asante sana Akiri kwa kunifahamisha. Nitawasiliana na wewe kwenye simu kwa ufafanuzi zaidi. Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom