PATA: Amazon Kindle kwa bei ndogo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PATA: Amazon Kindle kwa bei ndogo!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Amoeba, Jul 22, 2012.

 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Salaam wakuu,
  Nauza Amazon Kindle (Kindle 3, Kindle Keyboard) kwa laki 3 tu!!..iko na LED smart cover nyeusi (kama inavyoonekana kwenye picha)....free 3g connection popote! Ina vitabu 1460 (elfu moja mia nne na sitini!!!!). Novel nyingi za waandishi maarufu kama Dan Brown, Robert B, James Hadley Chase, Dean Koontz, bila kusahau vitabu vya wajasiriamali kama Naked Millionaire na vingine, vitabu vya wanasiasa kama Mein Kampf-Adolf Hitler, Decision Points-George W. Bush, Audacity of Hope-B. Obama, ni vitabu vingi mno vya science, biashara, hadithi, Illuminati,black magic,white magic nk, Yaani ukijumlisha gharama ya hivyo vitabu ni pesa nyingi tu. Naiuza kwa sababu siitumii, iPad imetake over. Kama uko interested nicheki pm au amoebazone@gmail.com.
  Kindle.jpg
   
Loading...