andoa shaka hakuna ugumu wowote kusoma ulaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

andoa shaka hakuna ugumu wowote kusoma ulaya

Discussion in 'Matangazo madogo' started by sonelojunior, Jul 20, 2012.

 1. s

  sonelojunior Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kutokana na watu kuwa na ufinyu wa mawazo kwa kutamani kusoma nchi ya nje lkn wanajiwekea kuwa lazima kutakuwa na mazingira magumu sasa nakutoa uoga huo.
  yeyote anayetaka kusoma ulaya kwa level ya deploma , degree or master asisite kuitimiza haja yamoyo wake kwa kuwasiliana nami kwa namba hii+447424887518 or email mack2chris@gmail.com
   
 2. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Thanx for the info
   
 3. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  safi sana,naomba upeleke post hii kule jukwaa la elimu,imetulia
   
 4. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu ebu fafanua vizuri unavyosema hakuna ugumu wowote kusoma ulaya unazungumzia hasa kwenye suala gani au nchi gani mkuu?? maana kama ni uk kama ni mtoto wa wa mkulima please wala msijaribu kuja kusoma bila kuwa na uhakika wa pesa za kujikimu lasivyo utaona ugumu wa maisha na vigezo vya international student kuja uk vimefanyiwa mabadilko kuanzia 1st april 2012 mwaka huu. agency wengi wanawadanganya sana vijana wa watu wakishapata admision mwanafunzi agency anapata commission yake mwanafunzi anakuja huku anasoma kwa shida sana hilo ninauzoefu nalo sema nashukuru mungu kwa upande wangu nilikuwa na uwezo wa kuweza kujikimu ila wengine nilikuwa naona wanavyohangaika sana hasa kwenye gharama za maisha na kumalizia ada zao, in general ni kwamba ukitaka kusoma uk lazima ujipange hasa na wala sio kama unavyoenda india ki ukweli lazima umwambie mtu uhalisia ajiandae ili asije akapata shida na lawama baadae, na kama anakuja kusoma kwenye vyuo vinavyotambulika na sio hivyo vya mtaani.
   
 5. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,187
  Likes Received: 681
  Trophy Points: 280
  Kadhia za kusoma nje ya nchi ni subjective mkuu. Shida haiko kwenye pesa tu, mazingira, lugha kwa nchi zisizotumia kingereza, utamaduni, aina ya watu unaokutana nao, ubaguzi n.k. Kwa wale ambao wamesoma au wako masomoni nje ya nchi wanaweza elezea mengi waliyo/nayo kutana nao.
  Ushauri: Unapoenda masomoni nje ya nchi tarajia mengi zaidi ya elimu iliyokupeleka.
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  jazakallah kheir mdau
   
Loading...