Kiwanja cha matumizi ya biashara kinauzwa kinondoni a. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja cha matumizi ya biashara kinauzwa kinondoni a.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Jul 23, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,452
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Kiwanja hiki kipo karibu kabisa na kituo cha mabasi kina sqm 15 x 30. kwa sasa kiwanja hiki kimejengwa nyumba ambayo mnunuzi atavuja . ni kizuri kwa biashara ya hotel,supermarket , kituo cha mafuta au apartment. yaani nyumba ambayo itaenda juu. kina hati . pamoja na hicho kuna viwanja vingine 3 vimeambatana nacho. hiki nilichokitaja kinauzwa 250m.
  kwa anayetaka maelezo zaidi pamoja na kuja kuona 0755 099 291, 0686 200 117 au 0657 145555, 0778 250 039
   
 2. A

  Akiri JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,452
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  kiwanja hiki kipo kinondoni A. hapa Dsm ni center ya kwenda kila sehemu ya mji huu. hii sehemu imezungukwa na nyumba 3 ambazo zote zinauzwa na akipatikana mnunuzi wa kununua zote na akajenga kitega uchumi inakuwa safi la unaweza nunua nyumba mojawapo.
   
Loading...