Je Unahitaji Bodyguard Au Security Guards?

Bodyguard

Member
Jul 2, 2012
27
2
Kampuni mpya ya Ulinzi, Usalama na Inteligensia iinao Walinzi na Maofisa wenye sifa zifuatazo:

1. Jinsia:Wa Kiume na Wa Kike
2. Umri: Walio Na Miaka kati ya 20 na Kuendelea
3. Elimu: Walio na Elimu Kuanzia Form IV na Kuendelea:
4. Lugha: Wanaoongea Kiingereza na Kiswahili
5. Tabia: Walio Jasiri na mwenye tabia njema na wasio na record yeyote ya uhalifu (Police Clearance Certificate zipo)


Kazi na huduma tunazotoa:

1. Static Security Officers/Guards (Baadhi wamepitia JKT na Mgambo na kuendelea)
2. Incident Response Guards
3. Bodyguards; Closed Protection & Escort - Kwa ambao wanafikiri usalama wao uko mashakani na wanahitaji walinzi binafsi na wapambe wa kuwasindikiza wa kike au wa kiume. Bodyguards wetu wamepitia mafunzio ya ukakamavu kama Karate; JKT; Mgambo; Jeshini, Police n.k.
4. Intelligence & Investigation Officers - Kwa waliohitaji uchunguzi wa masuala mbalimbali ili kupata ushahidi wa uhakika katika makampuni, masuala ya ndoa, biashara, elimu, ajira nk nk
5. Training in using Small Weapons/Range & Weapon Services
7. Security Consultancy Services
8. Digital Security Communications

Contact: firstresponsebrigade@gmail.com

NB: Walinzi wetu wote wanatumia Digital Radio Calls (TETRA) mawasiliano ambayo hayaingiliwi kwa namna yoyote na yako secured.
 
ili ni tangazo la kazi?, namaanisha mnahitaji watu wa kazi, ama nyie ndio mnatoa service hizo?, mbona hamjajipanga?
 
Mabaunsaaaa!
I hate em bounsers coz wanafikiria kutumia nguvu ndio motto. Hawatakagi kutumia akili...
 
Back
Top Bottom