Nyumba inauzwa yombo vituka

frnk

Senior Member
Jun 19, 2012
160
12
Nyumba ina vyumba vitatu na sitting & dinning room ina tyres,
pia kwa nyuma yake kuna nyumba ndogo ya vyumba vitatu,
na ina frem moja ya biashara,
una umeme na maji tayari,
Plot yake imepimwa no.1870
ina parking safi ya gari na ina uzio(gate) nzuri,
Ipo maeneo ya yombo vituka karibu na hospitali ya yombo malawi,
Bei yake ni milioni 80 za kitanzania..

kwa mawasiliano zaidi tafadhari piga: 0719 075 175
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom