Jipatie asali mbichi: Direct from Sikonge. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jipatie asali mbichi: Direct from Sikonge.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Bundewe, Jul 28, 2012.

 1. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Asali mbichi toka sikonge Tabora inapatikana, pia utapata elimu ya jinsi ya kuitambua asali iliyochakachuliwa, iko kwenye containers za lita 1, lita 5, na lita 20.

  Lita1 - Tshs. 12,000; lita 5 tshs. 60,000; lita 20 tshs. 240,000/- Tafadhali kama uko serious unahitaji ni pm.
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  ungeweka simu Mkuu, hiyo Pm kwani kila saa unakuwa humu?
   
 3. m

  macinkus JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  TAHADHARI: ASALI INAYO PATIKANA TABORA NA SEHEMU ZINGINE WANAZOLIMA TUMBAKU NI HATARI KWA AFYA. NYUKI HUOKOTEZA NECTA KUTOKA MAUA MBALIMBALI PAMJA NA TUMBAKU. KWA HIYO ASALI IPATIKANAYO INA NICOTINE KIBAO. NDIO MAANA WANJANJA WA MANGHARIBU SIKU HIZ HAWAICHANGAMKII ASALI KUTOKA TABORA. WANANUNUA NTA PEKEE!!!


  macjnkus
   
 4. m

  macinkus JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  TAHADHARI: ASALI INAYO PATIKANA TABORA NA SEHEMU ZINGINE WANAZOLIMA TUMBAKU NI HATARI KWA AFYA. NYUKI HUOKOTEZA NECTA KUTOKA MAUA MBALIMBALI PAMJA NA TUMBAKU. KWA HIYO ASALI IPATIKANAYO INA NICOTINE KIBAO. NDIO MAANA WANJANJA WA MANGHARIBU SIKU HIZ HAWAICHANGAMKII ASALI KUTOKA TABORA. WANANUNUA NTA PEKEE!!!


  macinkus
   
 5. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  mkuu, hiyo bei yako ni hatari sana! Ninaye ndugu yangu pale Mibono. Mwezi wa sita mwaka huu ameleta asali kwangu kwa bei ya Tshs 25,000= kwa Lita 5; na lita 20, bei ni 70,000/= ; bei hii inabadirika barika lakini si ktk kiwango hicho cha kwako mkuu!
   
 6. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  Mkuu Hii kitu ni ya Ukweli kabisa na SABABU KUU ni uharibifu wa Mazingira ulio pelekea Nyuki kukosa Mimea ya asili hivyo kuchukua hadi maua ya TUMBAKU make Maua ya mimea ya asili hakuna tena yote ilisha katwa na walima Tumbaku

  NA hii asali nasikia kwa sasa JUMUIA YA ULAYA NA MAREKANI WALISHA IPIGA STOP kwa sababu ya kukutwa na SUMU YA NOCOTINI, ila kwa huku Bongo hakuna shida kabisa make sisi afya si ishu kabisa
   
 7. m

  mzee wa busara Senior Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mkuu bei kubwa sana hiyo,Asali ya Tabora hapa tbr mjini bei zake ni hizi Lita 1 ni tsh 4000-5000, lita 5 ni tsh 28,000- 30,000. So cheki hiyo bei yako,cha juu weka kidogo ili nawe upate lkn si hiyo bei ulioiweka.
   
 8. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu kweli bei hiyo siokabisa mana hii sio biashara tena ni unyama bei ya kawaida kabisa ni hiyo ya 25,000 kwa 5lita jameni huku ni kukomoana. huwa nikiishiwa asali nyumbani naenda nunua pale kota za shirika la reli baada ya kona ya chai kawaida nilikuwa nanunua lita 1 kwa shilingi 7000 juzi mwanangu alikuwaankohoa sana nikapita nimpate japolita. lakini nilirudi mikono mitupu baada ya kukuta lita 1 inauwza shilingi 20.000 jamani hivi huu ni uzalendo kweli na ahidi kufungua duka la asali hivi karibu na ntauza kw bei ya sikonge ilimradi tu niwakomboe wanyonge mana hatamimi ni mnyamwezi na ninajua umuhim wa asali kwa tiba na nimtumiaji wa asali na najua inapopatikana na gharama zake kwanini tunyonwe na wafanya biashara wenye tamaa hawa si wazalendo inanipa jazbasana halihii kilakukicha ni maumivu kwa mtu wachini looooh mungu atawaona ninyi msio na huruma na maskini

   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Punguza bei!!
   
 10. Buggy

  Buggy JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hakuna asali mbichi duniani! Acheni uongo na ushamba wa kutojua maana ya asali ya nyuki nyie!!!! Asali mbichi??????? Iliyoiva ikoje! Kuna asali ya nyuki wakali na wadogo (wasiouma) tu!!! Msianze kutupa maasali mabichi yaliotengenezwa kwa makapi (molases?)....
   
 11. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Hivi kuna asali iliyo iva?
   
 12. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
   
 13. M

  Malila JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Umeamua umsomee dua kabisa !!!!!!!. Subirini kidogo, nimetundika mizinga yangu Iringa, Mungu akijalia november natoa first product for human consumption. Hii ya Tabora na kule Songea ina nicotine kwa sababu ya Tumbaku.
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,754
  Likes Received: 82,732
  Trophy Points: 280
  Dah! Asali imechakachuliwa!

   
Loading...