Toyota colola sedan E-AE114

Naseeb

Member
Jul 17, 2009
39
4
Wakubwa natafuta Toyota colola sedan E-AE114 iliyo tumika hapa bongo nina 3m. ni pm kama unayo plz
 
Naseeb waskutishe bana, M3 zako utapata tu kakorolla, kama una washkaji mafundi utapeta nako kispana mkononi, teh teh!
Hii
 
Kuna jamaa anakiuza 1.2M kama vipi ni PM ila bana ki kimemshinda kwani hela yote inaishia kwa mafundi, tena kina Kabureta, utakuwa unaenda kwa Hussein Makabureta hapo ndo mwake ni MP
 
Wakubwa natafuta Toyota colola sedan E-AE114 iliyo tumika hapa bongo nina 3m. ni pm kama unayo plz

Naseeb..

Ka vp ongeza 0.5m kuna mshkaji wangu anayo Corolla ipo in good condition...

Alikuwa anataka 4m...thou naeza ongea naye kwa 3.5m...ka vp ni PM
 
Kama unataka simu yako iendelee kujaa namba za mafundi we endelea kutafuta gari la M3. Sikutishi ila huo ndo ukweli otherwise ubahatishe sana lakini mengi yana matatizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom