Toyota vitz!!!?

Toyota vitz!!!?

kipuri

Senior Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
155
Reaction score
27
Wakuu, mwenye gari aina hiyo, nahitaji kwa matumizi binafsi, isiwe mbovu, niko Dsm... Bubget yangu ni tsh. 5,000,000/=
 
nenda show room utapata nzuri kwa bei nzuri mkuu, usiwe wa mtumba kiasi hico
 
nenda show room utapata nzuri kwa bei nzuri mkuu, usiwe wa mtumba kiasi hico

asante kwa ushauri mkuu, lakini tuko hapa sababu hatuna uwezo wa kuingia show room, hela zenyewe za kuungaunga, ndio maana tunachukua mitumba
 
Jamani, hakuna mdau mwenye hii kitu, I'm serious
 
Wakuu, mwenye gari aina hiyo, nahitaji kwa matumizi binafsi, isiwe mbovu, niko Dsm... Bubget yangu ni tsh. 5,000,000/=
Kama uko na mil 6 sema nikuunganishe na mshakaji wangu, yeye ni dalali wa magari kinondoni.
 
Mim ninayo ya 2003 toka japan ndio imetoka bandar jana bei mil9,ina sub woofer ndan,DVD player yenye flash na memory card....
0764 468 469
 
nenda show room utapata nzuri kwa bei nzuri mkuu, usiwe wa mtumba kiasi hico
Kwani unadhani ajaenda show room??mpaka kaja hapa na Ml5?....au za show room siyo mitumba?...pesa yako ni ndogo kwa vitz utapata mbovu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom