Esther Kimario
Member
- Nov 17, 2011
- 62
- 13
- Wapi? Kigamboni (km 13 kutoka feri) Unavuka kibada
- Kwenye mradi? Hapana. Hili nieneo lililo nje ya mradi wa mji mpya
- Ukubwa? Miguu 20 upana, na miguu 45 urefu
- Kimeendelezwa? Kina banda zuri lililofikia stage ya lenta (Banda lina Chumba, sitting, choo na jiko) - Halina muda mrefu. Pia kuna karo dogo la kutunzia maji.
- Kinafikika? Ndio gari mpaka kwenye kiwanja chako. Na ni hatua chache kutoka barabara iendayo dar es salaam zoo
- Hati? Hakina but ukinunua unapewa hati ya kijiji toka serikali ya mtaa
- Maji na Umeme? Umeme ndo nguzo zinawekwa, maji yapo mengi
- Shilingi ngapi? Shilingi 4,000,000 tuu. Bila stori
- Kama unakihitaji ni- PM (Kwa aliye serious tuu)