Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji kununua gari either carina ti au corolla e111 lakini chini ya cc 1500 bajeti yangu ni 6M iwe katika hali nzuri Nipe no tuwasiliane
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za muda huu waungwana!Picha hiyo hapo juu ni moja kati ya picha zinazoonyesha Kiwanja ambacho KINAUZWA maeneo ya Mbagala Chamazi, Kwa bei ya Tshs 10,000,000 lakini bei inapungua KIMEPIMWA...
0 Reactions
2 Replies
986 Views
Kwa mahitaji ya ramani unaweza kuwasiliana na mimi kupitia 0752 615637, 0655615637. Pia nimeshafanya ramani nyingi kama mtakazo ziona kwa picha kwenye attachment.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
ZINAKUJA NJIANI,ziko nyingi..specificationz zake hizi hapa GENERAL 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G Network HSDPA 850 / 1900 BODY Dimensions 114 x 58 x 15 mm Weight 150 g...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
J.D.M Health Consultanttunahusika na utoaji wa ushauri wa afya hasa kwa magonjwa yanayotokana namaisha tunayoishi hivi leo (life style diseases) kama kisukari, shinikizo ladamu, saratani, vidonda...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Wadau! Kwa anayependa kuweka oda, nina 4 Puppies (100% PURE GERMAN SHEPHERD PUPPIES), wote madume ndiyo kwanza wamezaliwa ila kwa anayehitaji anitumie PM; watakuwa tayari kutolewa baada ya wiki...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello wana jamii,shughuli zinaendaje?jamaninauza kuku wa nyama wa kisasa maarufu kama broilers,kwa bei nafuu kabisa kama ifuatavyo; kuku akiwa mzima hajachinjwa ni shilingi 5,000/=...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ni nyumba nzima. ina vyumba vitatu vya kulala, self 1 ina AC, jiko dining. Car park, iko ndani ya fensi. Laki tano kwa mwezi. Kwa mawasiliano 0652842271;0655675500.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
****** kuna tatizo la kiifundi
0 Reactions
0 Replies
801 Views
.Ps3 250GB slim,1 pad, 10 games(CD or installed) .In Good Condition Used 1 month .U.S model(Stabilizer Included) Pm or call for more info: 0782221405
0 Reactions
0 Replies
869 Views
jamani naombeni msada mnijuze wapi nitapata xbox 360 na kwa bei gani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
New Galaxy Tab 2 (64GB), Sold for 800,000Tsh. Pm or call for more info:0782221405
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Nyumba ina vyumba vinne na sebule na dinning room,ina tiles, pia ina umeme na maji, ina uzio(gate) pamoja na frem moja ya biashara na ina parking nzuri ya gari. plot imepimwa no.1870 nyumba ipo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
nataka kuanzisha vdeo library so anayeuza Kwa Bei jumla plz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bajaji inauzwa, kwa mawasiliano zaidi tuma PM kwangu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyumba ipo kinondoni ada estate unaingilia kinondoni makaburini. ina vyumba 3 kimoja master jiko na sitting room kubwa, umeme na maji yapo. compound inatosha gari 2 mpala 3 .bei lak 5 kwa mwezi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamii? hope ni poa, naombeni msaada wa info. hapa, nahitaji blank dvd zile za 8GB, wapi naweza pata hapa town na bei yake ni ngapi? Asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Upande wa nyumba unapangishwa Sinza Mori, 1 bedroom, 1 sitting room, kitchen, bathroom/toilet na kabaraza kadogo ka kupumzikia. Inafaa pia kwa ofisi ndogo ndogo kama za NGOs nk. Malipo ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kama unayo unauza au kama unaMjua mshikaji anayeuza kwa bei ya mkononi, iwe mpya ama used iliyo katika hali nzuri, nicheck kwa 0715841111. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
karatu ni mji wa kitalii unaokua haraka ikiwa una ndoto ya kuwekeza hapa unahitaji kupata uwanja mdogo wa gharama nafuu, kuanzia laki tano hadi m.ishirini au zaidi usiumize kichwa kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom