Pure german shepherd puppies | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pure german shepherd puppies

Discussion in 'Matangazo madogo' started by bwegebwege, Jul 31, 2012.

 1. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wadau!

  Kwa anayependa kuweka oda, nina 4 Puppies (100% PURE GERMAN SHEPHERD PUPPIES), wote madume ndiyo kwanza wamezaliwa ila kwa anayehitaji anitumie PM; watakuwa tayari kutolewa baada ya wiki 6!

  Kama unapenda wasiliana na mimi kwa PM

  BEI NI 500,000/=


   
 2. o

  ozzyrich New Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninahitaji so inakuaje,tuwasiliane vipi.
   
 3. B

  Buza Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Weka picha ya wazazi.
   
 4. by default

  by default JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  anasema ndo wamezaliwa picha si itakuwa ya vitoto vya panya,jamaa nj .a a sana huyu mbwa kazaa tu kashaweka bango uenda ikawa huyu ni shanta tu kasikia kwa jirani mbwa kazaa anatega.kuwa na subra adi wafkishe miez wiki 10 adi 15 wanyonye na wapewe chanjo ya magonjwa ya mbwa wadogo.
   
 5. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Jamani anayeona nina njaa sawa, maybe ninayo kweli, mwanaume hafichi shida, ndio dunia ilivyo!

  Angalizo: Nauza mbwa kwa anyehitaji na anayeweza kutunza mbwa! Wazazi ni Pure GS, kwa anayehitaji awasiliane na mimi through PM, bei ni Ths. 500,000/=. Kama wewe si mhitaji waache wanaohitaji watafute.
  Kwa anayehitaji picha za wazazi ningeshauri uje uone Mbwa wenyewe ujiridhishe!

  Asante
   
 6. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Asante kwa ushauri: Kama ni mzoefu wa kufuga mbwa utakubaliana nami kuwa ukitunza vizuri mbwa (wazazi na puppies) baada ya wiki 6 - 8 puppies wanaweza kuanza kujitegemea. Mbwa wamezaliwa 6, wa-2 nabaki nao mwenyewe, the rest nawatoa kwa anayehitaji, kutangaza mapema inakusaidia kuplan na mnunuzi/mhitaji lini atakuwa tayari kuwachukua na namna gani umsaidie....kwa mfano kumbuka ninapotengeneza kadi za chanjo lazima nihakikishe details za potential owner zipo correct....ndiyo namna tunavyofanya wafugaji tunaofuata masharti! Mbwa ni sehemu ya familia, hutoi tu mbwa kwa nia ya kupata fedha, kila mfuh=gaji wa mbwa angependa kuona mbwa anakwenda kwenye familia itakayomjali.....
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  daah so kama mimi naenda kumtelekeza vijijini kula mizoga ya kuku huko hunipi? regadless ninayo laki tano?
   
 8. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Smile, lets be serious! Its not only about money......
   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  we kazi yako ni kuuza tu bana ..kama naenda kumchinja au vipi haikuhusu
   
 10. B

  Buza Member

  #10
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Weka picha Za wazazi, watu wengi wanasema wana pure kumbe cross. Wengi hamjui pure anakuwaje, ukiona masikio yamesimama tu basi ndio maana tunataka picha ya wazazi ili usitusumbue bure.
   
 11. s

  sithole JF-Expert Member

  #11
  Aug 2, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mkuu weka picha za wazazi,pia bei ipo juu kichiz!puppies wanauzwaga laki 3,ukipunguza unauza laki 2 na nusu s mbaya!yanh mkuu unauza bei mbaya utadhani Gold!bei hiyo ni ya trained Pure GS
   
Loading...