KUKU WA NYAMA (broilers) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KUKU WA NYAMA (broilers)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Edger Amon, Aug 2, 2012.

 1. E

  Edger Amon New Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello wana jamii,shughuli zinaendaje?jamaninauza kuku wa nyama wa kisasa maarufu kama broilers,kwa bei nafuu kabisa kama ifuatavyo;
  kuku akiwa mzima hajachinjwa ni shilingi 5,000/=,
  kuku akiwa amechinjwa nakutolewa uchafu na kusafishwa ni shilingi 8,000/=tu (hapa ukichukua wengi bei inaweza kupungua)

  CONTACT;0712 466 386 AU peculiareddy@yahoo.com...mtanipata Ahsanteni!!!!!!!!!!!!
   
 2. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Asante lakini wengine tunapunguza kula hizo broilers bora wa kienyeji wa kujifugia mwenyewe. Maana siku hizi tunatishwa kuwa mara zinapewa ERV, mara vidonge vya majira ili mradi ndani ya wiki mbili wawe wamekuwa kufikia kuuzwa.
   
 3. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Duh, Gharama ya kunyonyoa sh elf3! ! ! Kaazi kweli kweli...
  NB: Kuku wana wiki ngapi?
  Otherwise all the best na mauzo sikukuu inakuja.
   
Loading...