Mpwa halahala kidole na Jicho bhana, hii nyumba sio ndio ile ya Ujambazi wa taifa a.k.a Usalama wa Taifa? iko jirani na kituo cha Polisi Kinondoni Shamba mahali lilipo Bango la Sunray Nursery School, nje ina CCTV Cameras na inaonekana kama haikaliwi hivi!!!!!!! Sio hio kweli Mpwa? Si ndio humo wanasema kawekwa sijui nani yule aliemnanihii tabibu fulani hivi majuzi??? Mie sitaki kesi bhana