Changamkia Kiwanja hiki!

Changamkia Kiwanja hiki!

Shebi Gwara

Member
Joined
Mar 30, 2010
Posts
14
Reaction score
5
IMG00121-20120731-1151.jpg
Habari za muda huu waungwana!Picha hiyo hapo juu ni moja kati ya picha zinazoonyesha
Kiwanja ambacho KINAUZWA maeneo ya Mbagala Chamazi, Kwa bei ya Tshs 10,000,000 lakini bei inapungua
KIMEPIMWA na kina JENGO hilo hapo linaloonekana, MAKABRASHA yote kuhusu hicho kiwanja yanapatikana yakihitajika
Piga namba hii kupata maelezo zaidi. 0713 423202
Ahsanteni.
 
Attachments

  • IMG00115-20120731-1148.jpg
    IMG00115-20120731-1148.jpg
    418.4 KB · Views: 62
Naomba unisaidie majibu kwanza kabla hatujaanza kutwanga simu:-
  1. Kiwanja kina ukubwa gani?
  2. Je, eneo lililopo halipo kwenye huu mpango wa Serikali wa kujenga mji mpya?
  3. Eneo ambalo kiwanja kipo ni eneo lililotengwa kwa matumizi gani??
  4. Wewe ni dalali au muuzaji?
Asante sana
 
Naunga mkono hoja zako Mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom