Wanajamvi habari za leo!
Jamaa yangu anatafuta nyumb/Apartment ya kupnga jijini Dar-es-Salaam, kama kuna mtu Mwenye nyumba, au anayefahamu mtu anayepangisha nyumba yake basi tuwasiliane...
Wana JF habari za leo.
Naomba kusaidiwa kwa anaezielewa vizuri gari hizi. Watu wengi wanasema zina matatizo, lakini hawasemi ni matatizo gani hasa. Naomba kueleweshwa tafadhali.
Upande wa nyumba unapangishwa Sinza Mori, 1 bedroom, 1 sitting room, kitchen, bathroom/toilet na kabaraza kadogo ka kupumzikia.
Inafaa pia kwa ofisi ndogo ndogo kama za NGOs nk.
Malipo ni elfu...
Eti nyie airtel hebu nielewesheni, kwenye hili tangazo lenu mmeweka hela halafu imekatwa, halafu mmeandika hauchajiwi ndio kusema kwamba hamkati hela sasa mbona tangazo lenu wenyewe ndio...
Habari zetu wanajamvi natafuta kiwanja maeneo husika hapo juu na maeneo yanayoendana na hayo katika mkoa wa tanga,nitumiye private message kama unacho.Siku njema na weekend njema wakuu...
Habari zenu wakuu,
Nataka kufungua account ya kampuni (ltd), naomba mawazo yenu ni benki ipi nchini Tanzania iwapo nikifungua account ya kampuni itaniweka katika nafasi nzuri kiusalama na...
Toyota Corolla EG1 nyeupe inauzwa.BEI MIL 4.5 imetembea 91898 km,na inatumika kwa matumiz binafsi....iko Dar es salaam!UNARUHUSIWA KUJA NA FUNDI KUIONA
0764 468 469
Habarini za asubuhi.Jamani kuna yoyote anaweza kuniambia dula lipi la vifaa vya ujenzi naweza kupata floor molding za quality ya juu kama kwenye picha hapa chini
Habari za muda huu waungwana!Picha hiyo hapo juu ni moja kati ya picha zinazoonyesha
Kiwanja ambacho KINAUZWA maeneo ya Mbagala Chamazi, Kwa bei ya Tshs 10,000,000 lakini bei inapungua
KIMEPIMWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.