Nymba inauzwa mil.70 yombo vituka

Nymba inauzwa mil.70 yombo vituka

frnk

Senior Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
160
Reaction score
12
Nyumba ina vyumba vinne na sebule na dinning room,ina tiles, pia ina umeme na maji, ina uzio(gate) pamoja na frem moja ya biashara na ina parking nzuri ya gari. plot imepimwa no.1870 nyumba ipo maeneo ya karibu na hospitali ya malawi-vituka. Bei yake ni milioni 70. Nyumba ipo katika hali nzuri. contact: 0719 075 175
 
Nyumba ina vyumba vinne na sebule na dinning room,ina tyres, pia ina umeme na maji, ina uzio(gate) pamoja na frem moja ya biashara na ina parking nzuri ya gari. plot imepimwa no.1870 nyumba ipo maeneo ya karibu na hospitali ya malawi-vituka. Bei yake ni milioni 70. Nyumba ipo katika hali nzuri. contact: 0719 075 175
ni vizuri ungeweka picha.ila nimependa ulivyoichambua na kuweka bei kabisa
 
Mkuu funguka kidogo tyres imetembea kilometer ngapi na ni dunlop au goodyear ukiweka na picha itakuwa poa
I guess ni trailer house
 
Mkuu funguka kidogo tyres imetembea kilometer ngapi na ni dunlop au goodyear ukiweka na picha itakuwa poa
I guess ni trailer house

Thanks for your advice,i' work on it,rather its not a trailer (mobile) type of home....
 
weka picha tuone,hakuna mtu atakayesema ananunua bila kuangalia picha,

Mkuu,nitumie emaij ads nikutumie pictr,watu wengne si wastaraab,kuna kpnd nilikua nauza gar nikaweka picha zake,cha ajabu kuna mtu akaztumia picha zangu kuitangaza gar kwa bei kubwa na kunichelewesha kuuza...wakat hatukua na makubalia yoyote...
 
nitumie pec kwa maili yangu.saidi49@ymail.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom