naomba kuuliza gharama wanazochaji western union kwa mtu anayetuma pesa nje ya nchi.
mfano: ukitaka kutuma shilingi milioni 1 nje ya nchi, western union wanakuchaji shilingi ngapi au asilimia...
Badilika sasa. Angalia ingredients zilizomo kwenye deodorant, antiperspirant roll on etc. Kama zina aluminium unaweza kupata madhara ya kiafya baada ya kuzitumia kwa muda mrefu.
Tumia Aloe Ever...
ni mpya na ipo katika hali nzuri kabisa,bei laki tano na nusu
contact
0712013792
0754019123
specs
Model
A1332 (GSM model)
A1349 (CDMA model)
(2012-05-07)
Power...
Habari zenu wakuu!
ESPITECH COMPANY ni mabigwa wa kusupply na kufunga vifaa vya solar Tanzania. Wana wataalamu wa solar energy wenye uzoefu na wamefunga mitambo ya solar kwa wateja mbalimbali...
Endeleeni kupata mafuta ya ubuyu kwa bei nafuu ya tsh 30,000 kwa lita toka Rose Group.Sasa yanapatikana Morogoro pia.Kwa walio nje ya Morogoro na Dodoma tunaweza watumia hukohuko waliko baada ya...
Gang Chomba anaanza kwa salam...
wakuu kwema?
Kama kuna mtu anayeweza kurahisisha kwa upatikanaji Samaki aina ya Prons naomba anijuze kwa Inbox then tuweze fanya Biashara, niko Dar.
Jieleze...
Nipo Dar, natafuta kozi ya muda mfupi ya web design and management. Hiyo kozi iwe inatolewa jioni baada ya muda wa kazi. Pia itakuwa vizuri endapo eneo la kufundishia linakuwa ni posta, maana...
Kwa mtu yoyote anayehitaji kununua almasi tuwasiliane Mzigo upo wa kutosha, kwa mnunuzi tuwasiliane 0778 918 245 kama hufahamu lolote kuhusu hii biashara pls pita kimya . tunatafuta a serious...
Simgas Tanzania Limited ni wauzaji na watengenezaji wa mitambo ya gesi inayotumia mabaki na taka za vyakula. Mitambo hiyo ina muonekano kama wa simtank wa lita 2000 ambao utakaa nje ya nyumba...