Oven ya nyumbani inauzwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Oven ya nyumbani inauzwa.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by jchofachogenda, Aug 9, 2012.

 1. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Oven ya kupashia moto chakula ya nyumbani aina ya Samsung inauzwa kwa bei nafuu,kwa anaehitaji anitumie private messege tuwasiliane.
   
 2. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Mkuu, ni oven au microwave? Fafanua.
   
 3. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ovens zimepitwa na wakati.
   
 4. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,686
  Likes Received: 647
  Trophy Points: 280
  Microwaves ndo zimepitwa na wakati.
  Ushawahi kula keki iliyotoka kwenye oven sekunde kama kadhaa hivi?
  Unaweza kufananisha na microwavable, lets say pizza?
  Ujanja mwingi mara nyingine huwa mbele kiza.
   
 5. s

  sharura Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wekabey
   
 6. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Elfu Kumi na tano unakula?
   
 7. s

  sharura Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tunaitajibey tumabey yako kilamtu apime.uwezowake
   
 8. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kama unaitaka wewe nitakupa hata bure maana nakufahamu unapenda sana mtelemko,ila ukubali tu masharti yangu ambayo siwezi kuyataja hapa hadharani hivyo nifuate kwenye Private Message.Mbona vitu vyangu vingi nimekupa Oven kitu gani bwana mradi tu ufuate masharti yangu nitakupa bure kabisa sitaki hata sh.moja yako.
   
Loading...