Photocopy mashine nzuri (IR) ya less than 1.8M

Photocopy mashine nzuri (IR) ya less than 1.8M

moto2012

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
2,306
Reaction score
1,536
wadau naomba nijuzeni ni model ipi ya cannon photocopier (IR) ambayo ni durable na cheap na wapi naweza kuipata<br>
 
unahitaji kwa matumizi gani? unahitaji mpya au used? heavy duty au ndogo tu?

Ukiweka wazi hivyo nadhani itakuwa rahisi kusaidiwa
 
tafuta IR 1600 inapatikana ndani ya Sabasaba kwa 1.1million
 
asante wadau, lengo ni kupata brand new, kwa ajili ya biashara ktk eneo ambalo halipo busy sana,

nitaenda hapi 77
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom