Bei ya kukodisha nyumba sinza ni kiasi gani?

Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,401
2,333
Nina nyumba ya one bedroom,sitting room and toilet ndani na ina tiles ndani,je nitaipangisha kwa kiasi gani?ipo maeneo ya sinza kwa remmy na mimi nipo mza sa c mzoefu wa huko.
 
unataka chumba kimoja, viwili, vitatu au nyumba nzima? kama unataka nyumba nzima, apo andaa si chini ya laki tano kwa mwezi, kama chumba kimoja huwezi pata, au ukipata ni laki moja au si chini ya hamsini...kama vyumba viwili self, laki na nusu...balaa hapo aisee...
 
Mkuu soma kwanza thread basi kabla hujadakia kujibu.
 
Thanx wakuu,nikija dar ntawacheki ili kama kuna mtu atahitaji nimuachie akiipenda,miezi sita tu atatoa
 
Nina nyumba ya one bedroom,sitting room and toilet ndani na ina tiles ndani,je nitaipangisha kwa kiasi gani?ipo maeneo ya sinza kwa remmy na mimi nipo mza sa c mzoefu wa huko.

Bei maelewano!
 
Mpaka nije huko dar nipo rock city sa hv kwenye tare 20 hv naweza kuwa huko
 
Thanx wakuu,nikija dar ntawacheki ili kama kuna mtu atahitaji nimuachie akiipenda,miezi sita tu atatoa

Nipo tayari kwa laki moja bila longo longo....namaliza mkataba wangu mwezi huu, so kama vipi tuwasiliane!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom