Chimbuvu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2012 Posts 4,401 Reaction score 2,342 Aug 9, 2012 #1 Shamba linauzwa lipo maeneo ya shibura wilaya ya ilemela,lina ukubwa wa ekari moja,halijapimwa bado,bei tsh 3,000,000/-
Shamba linauzwa lipo maeneo ya shibura wilaya ya ilemela,lina ukubwa wa ekari moja,halijapimwa bado,bei tsh 3,000,000/-
daughter JF-Expert Member Joined Jun 22, 2009 Posts 1,275 Reaction score 748 Aug 9, 2012 #2 shibura ndio njia ya kwenda wapi?
Chimbuvu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2012 Posts 4,401 Reaction score 2,342 Aug 9, 2012 Thread starter #3 Kutoka Airport kuelekea nyamwilolewa ndio unafika shibura,ama baada ya buswelu ndio panafuata shibura,
Kutoka Airport kuelekea nyamwilolewa ndio unafika shibura,ama baada ya buswelu ndio panafuata shibura,
alphoncetz JF-Expert Member Joined May 1, 2011 Posts 280 Reaction score 50 Aug 9, 2012 #4 Mh! Kwa maeneo hayo hako kabei ni tata kidogo! Kama ni heka moja fika mil mbili tuongee biashara
Chimbuvu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2012 Posts 4,401 Reaction score 2,342 Aug 9, 2012 Thread starter #5 Ukiwa serious buyer nipm ukiwa tayari ukalione,hiyo ni bei ya kuanzia tutaongea tu mtu wangu,am the owner.
Ukiwa serious buyer nipm ukiwa tayari ukalione,hiyo ni bei ya kuanzia tutaongea tu mtu wangu,am the owner.