Kampuni ya uhakika na kuaminika katika kutoa huduma za solar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampuni ya uhakika na kuaminika katika kutoa huduma za solar

Discussion in 'Matangazo madogo' started by lara 1, Aug 9, 2012.

 1. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wakuu!

  ESPITECH COMPANY ni mabigwa wa kusupply na kufunga vifaa vya solar Tanzania. Wana wataalamu wa solar energy wenye uzoefu na wamefunga mitambo ya solar kwa wateja mbalimbali.

  Wanauwezo wa kuwahudumia wateja wa aina zote, Wameshafanya miradi mbalimbali ambayo imeleta matokeo mazuri, ya uhakika na yakuaminika inayojumuisha

  Kufunga Solar kwenye ofisi za miradi na asasi mbalimbali za vijijini.
  Kufunga Solar kwenye minara ya simu ya kampuni kubwa ya simu.
  Kufunga Solar kwenye Hoteli kadhaa za kitalii mbugani.
  Kufunga Solar kwenya Dispensary ya vijiji kadhaa
  Kufunga Solar shule kadhaa za Sekondari
  Kufunga Solar Majumba ya vijijini ya wananchi wa kawaida na vizito kadhaa.

  Kama ungependa kuona client base yetu tafadhali tuwasiliane na unakaribishwa.

  Bei inategemea na ukubwa wa mradi, ila bei inaridhisha, na kazi unapata ya uhakika.

  Mawasiliano

  Office Location
  Arcade House, 1st Floor, Old Bagamoyo Road, Mikocheni B

  Address
  P.O .Box 29961
  Dar es Salaam

  Mobile:
  +255 (0) 654 322 585

  Email: info@espitechtz.com

  Website: Espitech | Home
  [​IMG] Attached Thumbnails [​IMG]
   
Loading...