MAGARI BEI Poa- toyota duet million 4.8.

saq

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
268
12
toyota duet - 4.8million good fuel consuption
toyota landcruiser 5 door hardtop - 20 million.

simu- 0784 768786
 
plz toa detais za hiyo duet, ya mwaka gani na mileage ipoje? Una Vitz pia?
 
Weka spec za hardtop ni ya mwaka gani cc ngapi km ngapi ukiweza na picha
 
Wakati mwingine bei poa ni aghali hasa nikikumbuka kilichotokea kwa watanzania ilipoingia kampuni ya JABA pale Magomeni. Toa particulars nyingine ili angalau wateja tarajiwa wajionee na kuridhika na hiyo biashara.
 
TOYOTA LAND CRUISER -LX
TOYOTA LAND CRUISER II -LX LIKE HARDTOP-5 doors, 5 seaters,ENGINE:1PZ-PRADO,
IMMACULATE CONDITION, ENGINE UNTOUCHED, IMPORTED IN 2004 ONE HAND USE.
A/C, P/S, P/W,LEAF SPRING, IDEAL FOR ROUGH ROADS.

Picha-
LAND CRUISERII-SM.jpg


 
TOYOTA DUET-
1999 Model.
Approx. 100,000km used.
Ipo kwenye hali nzuri kabisa.
Marekebisho ndogo ndogo, kama ya OIL SEAL na PISTON RING inatakiwa...Sitaki ku toa hela kutengeneza na kugombana na mafundi....
NAOUZA KWA BEI - 4.8million tuu !!
Mjini unaweza kupata hiyo gari kwa 8million.

PICHA-
due.jpg
 
Back
Top Bottom