western union

western union

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
naomba kuuliza gharama wanazochaji western union kwa mtu anayetuma pesa nje ya nchi.
mfano: ukitaka kutuma shilingi milioni 1 nje ya nchi, western union wanakuchaji shilingi ngapi au asilimia ngapi ya pesa unayotuma?
 
mkuu charge zao zinategemea exchange rate ya siku hiyo. Hivyo ni ngumu kujibu swali lako kwani hujasema unatuma unatuma nchi gani

isitoshe utakayemtumia atapokea pesa za nchi hiyo na wewe utatuma za nchi uliyopo. Kwahiyo kama uko TZ sidhani kama watakubali uwape dola

nenda kwenye ofisi iliyokaribu na ww utapata maelezo kamili
 
naomba kuuliza gharama wanazochaji western union kwa mtu anayetuma pesa nje ya nchi.
mfano: ukitaka kutuma shilingi milioni 1 nje ya nchi, western union wanakuchaji shilingi ngapi au asilimia ngapi ya pesa unayotuma?

Mkuu achana na western union. Tumia Moneygram. Western union gharama zao za kutuma ni kubwa kuliko za Moneygram na exchange rate ya pesa ya moneygram ni nzuri kuliko ya western union. Kama uko DAR, Arusha au Mwanza nenda Twiga Bancorp mtandao wao uko faster zaidi na kama uko mikoani basi jaribu Exim bank.
 
Back
Top Bottom