natafuta gari ya kununua

Nina Toyota Baloon Cresta marekebisho madogo Sana engine 4s ni economic sana ulaji wake wa mafuta Nimelipaki ukilipenda nitakupunguzi ana bei
 
Toyota Caldina, CC1980, Odometer 197,000, Naanzia na hiyohiyo 6.5Mil
 
Nina chaser, 182,000 km haijawahi kupata ajali, imelipiwa kila kitu last week! Ni PM tufanye biashara.
 
jamani wana jamvi, nina 6.5mil nataka gari simple but economy mfano toyota carina GT or the like. Anayeuza ajitokeze.

Corolla EG 1,Odometer 91,898 iko Dar,bei Naanza na mil 5,inatumika kwa matumiz binafsi.
0764 468 469
 
Nimekumbuka Kuna Ki Corolla Cha South Africa Kilikuwa kinatumika kwa kazi za Office Model ya 1990 kimeenda kama km90,000 hivi kilikuja kikiwa Brand New Speed Meter ni 220 kwa Mwendo Wacha kabisa ila Ujue ni Manual car five Gear... kama unaiweza lakini kipo in Good Condition... kama upo fresh nikupeleke ukaione
 
Toyota Kluger (Toyota Highlander0, 2002, 75,000+ Km, 2WD, vvti Engine USD 18,000

Kama unahitaji ni-PM au send email to bwegebwege@gmail.com
 
Wadau vipi kwa Mil 5 siwezi kupata GX 100 Cresta ya kuanzia mwaka 2000 and above?
 
mkuu gari ya hiyo hela utaweka undugu na mafund,kila siku linakorofisha,gari bovu linaudh sana!acha tuu ndg.yangu
 
TOYOTA DUET.
(kama size ya starlet)

KM- 100,000 approx.

FUEL- 12ltr kwa 1 km.
BEI- 5.8m only !!!

MESSAGE ME kama interested !

 
Toyota Caldina, CC1980, Odometer 197,000, Naanzia na hiyohiyo 6.5Mil

ninayo corolla 111, iko poa sana, cc1500 iko economy sana, iko hali nzuri, nicheki unaweza iona ipo ubungo external, najua hatuwezi shindana kutokea kwenye bei yako!!
nichek 0714397539
 
TOYOTA DUET.
(kama size ya starlet)

KM- 100,000 approx.

FUEL- 12ltr kwa 1 km.
BEI- 5.8m only !!!

MESSAGE ME kama interested !


Eeh!! hayo matumizi ya fuel ni makubwa mno kwa kweli, kilometer moja tu lita 12?!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom